Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,219 Reaction score 13,437 May 29, 2026 #21 ILISACHA said: Sina hofu sana huko, na naamini huo mtandao hauwezi kukubali kuchafuka kiasi hicho ila naamini watawafidia tu. Ingekuwa ni vikoba vya mtaani ningekwambia tayari kimewalamba, anyway pray [emoji120] Click to expand... Hakika... Mimi wasi wasi wangu upo kwenye uwekezaji wa bonds za serikali. Kama wanaweza kuturusha kwenye miradi... Wakaiba na kuivuruga chaguzi nadhani huko kwenye bonds sijui hati fungani ni suala la muda tu!
ILISACHA said: Sina hofu sana huko, na naamini huo mtandao hauwezi kukubali kuchafuka kiasi hicho ila naamini watawafidia tu. Ingekuwa ni vikoba vya mtaani ningekwambia tayari kimewalamba, anyway pray [emoji120] Click to expand... Hakika... Mimi wasi wasi wangu upo kwenye uwekezaji wa bonds za serikali. Kama wanaweza kuturusha kwenye miradi... Wakaiba na kuivuruga chaguzi nadhani huko kwenye bonds sijui hati fungani ni suala la muda tu!