Katika awamu ya nne ya uongozi ya urais ya uongozi wa Tanzania kumetokea wimbi la kuteua wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam katika nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa, mfano waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo, Mwajabu Possi (mwenyekiti wa bodi ya TBC), Rose Migiro (mkuu OUT),Professor Samwel Victor Manyere (mkemia mkuu) na wengineo.
Je kuna nini hapa? je ni kwamba hakuna wengine wa kushika nafasi hizo? je hakuna wahadhiri wanaoweza kujaza nafasi hizo?
Je kuna nini hapa? je ni kwamba hakuna wengine wa kushika nafasi hizo? je hakuna wahadhiri wanaoweza kujaza nafasi hizo?