ah naona umeanza nawe kutumia neno kugegedana hahaha
kweli kabisa vijana wanataka kugegedana tuuu.
sasa huyu atakuwa hajamfeel kivile ndio maana anasita...she is not ur type physically
huyu lazma ni mume wa mtu.ndo maana anawasiwasi kweli.
hahahahaha najua we ndo mwanzilishi wa hili neno,ila vijana bana wanapenda kugegeda tu....nadhani kukosa kazi za kufanya nako kunachangia
hahaha wewe wacha zako kukosa kazi ndio kunachangia kugegedana!!??? toka lini? bila kazi mwanaume usahau kabisa kumgegeda mwanamke....papuchi zipo on sale bwana hii story ya love ndio upate papuchi only exists as a de facto mammy!!!
weeh wapiga kazi si wagegedaji ka wewe....mbona papuchi za frii ziko kibao tu waulize beki 3 na shamba boyz....
mi mwenyewe wangu mmoja nilisomaga naye miaka ya 80! kaniomba nika-mshave kwake!
vijana wa sikuhizi bana
wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda
wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!
Kaka we jimwayemwaye, maisha yenyewe mafupi, ebu mpe haki yake ala!
Moyo unaona mbali kuliko macho,usikilize
hahahah wewe unajua mechi ya shamba boi au watania...ebu nenda kaonje uje uniambie game ilikuwaje
thubutu....watu twala kwa malengo babu!!! mie nionje kwa shamba boi na beki 3 aonje wapi???
Nilisoma naye O'level miaka ya 90; sasa nimekutana naye ukubwani anataka tuka-du - lakini namwogopa, kila tukipanga kuonana najenga sababu za kutoonana naye faragha. Sijui ni kwa nini moyo wangu unamugwaya. Nimueleze wazi kuwa siko tayari au niendelee kumpotezea kiaina.
kila kizazi na zama zake.vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!
umenifurahisha sana cielo.nina kaswali kadogo kumshevu nywele au mambuzi japo mambuzi nayo ni..........!mi mwenyewe wangu mmoja nilisomaga naye miaka ya 80! kaniomba nika-mshave kwake!
Moyo husukuma damu..hauna macho
duh! hi dunia zaid ya kurushana maji hakuna kinachowazwa zaid. lord have mercy lol!
Nilisoma naye O'level miaka ya 90; sasa nimekutana naye ukubwani anataka tuka-du - lakini namwogopa, kila tukipanga kuonana najenga sababu za kutoonana naye faragha. Sijui ni kwa nini moyo wangu unamugwaya. Nimueleze wazi kuwa siko tayari au niendelee kumpotezea kiaina.