Ni kwa vile JF tuna uhuru wa kuongea na kutoa maoni yetu, mantiki au kiini cha mleta uzi na uchambuzi uko ki analojia sana haufai kwa matumizi ya sasa yanayoenda kidijitali, ndio maana nikasema atumie king'amuzi kuhakikisha anacholeta hapi kipo kidijitali zaidi.
BTW wakati mwingine koment nyingine ni kama chachandu/kachumbari kwenye topiki, JF is never boring.