Kuna nini kati ya wachekeshaji Ringo na Tin White?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Tulizoea kuwaona hawa wawili wakiigiza comedy zao pamoja...lakini sasa hivh namuona Tin white yuko bize sana na Mkojani..kuna nini kati yao?

Ilipendeza sana wakiwa vile pamoja Ringo na Tin White kama ilivyo kwa.

Bambo na Kingwengu
Senga na Pembe
Sharo milionea na Kitale
Joti na Mpoki
Kiwewe na Matumaini
Mau na Chilli
Mkono na Mgosi

1622548370279.png

Hakuna kitu, hapa kati ulikuwa huwaoni pamoja sababu ilikuwa maslahi. Ringo aliona afanye kazi kivyake kwa muda kidogo but bahati mbaya zikabuma, ila now washarudi pamoja, new projects watakuwepo wote. Haya yote nimeyajua kutoka kwenye interview ya Mkojani katika kipindi cha empire EFM.
 
Asante mkuu..hapo itakuwa pouwa sana
 
Back
Top Bottom