wanajaribu kumleta mtu atakae itoa chadema madarakani, lakini wamechelewa ndio kwanza wanakuja kushuhudia chadema ikipandisha bendera kwenye serikali za mitaa, watahamishana sana mwishao wataacha arusha iteue mkuu wake wa mkoa kutoka serikali ya mitaa itayoongozwa na chadema, 2015 ndio tunakamilisha kwa kuchukua kiti cha umeya.