kuna nini Arusha panguapangua wakuu wa mikoa?

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Kwa kipindi kisichozidi miezi miwili,aliyekuwa mkuu wa mkoa arusha alipelekwa mwanza na wa mwanza kuja ars. Kabla hata hajakaa kwenye kiti aliyeletwa ars kaondolewa na kuteuliwa mkuu mwingine wa mkoa!
Sababu ya haya kutokea ni nini?hizi gharama za uhamisho si kuchezea kodi zetu?
 
Kumbe fedha za Escrow zilikwapuliwa Stanbic ya Arusha? ooh nilikuwa sijui kuwa wahalifu na wahuni wa Arusha ndo waliotuibia billions kwa kubeba kwenye mabox na mifuko ya sandarusi ... kweli wewe bata, kuharisha kama kawa...

Kwa sababu Arusha kuna wahalifu wengi
 
Wanajaribu kumleta mtu atakae itoa chadema madarakani, lakini wamechelewa ndio kwanza wanakuja kushuhudia chadema ikipandisha bendera kwenye serikali za mitaa, watahamishana sana mwishao wataacha Arusha iteue mkuu wake wa mkoa kutoka serikali ya mitaa itayoongozwa na chadema, 2015 ndio tunakamilisha kwa kuchukua kiti cha umeya.
 
wanajaribu kumleta mtu atakae itoa chadema madarakani, lakini wamechelewa ndio kwanza wanakuja kushuhudia chadema ikipandisha bendera kwenye serikali za mitaa, watahamishana sana mwishao wataacha arusha iteue mkuu wake wa mkoa kutoka serikali ya mitaa itayoongozwa na chadema, 2015 ndio tunakamilisha kwa kuchukua kiti cha umeya.
ameeni, na iwe hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom