Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,358
9,232
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.

Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.

Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."

Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.

Mtanielewa baadaye
 
Hebu acheni hizo. Mnakua na ulimbukeni wa timu inayofanya vizuri. Mnataraji hiyo itakuwa ni timu gani isiyopoteza? Wachezaji wenu walioaminiwa leo ndiyo jao mkawalaumu, msitake kurushia watu lawama.

Ukiwa na timu nzuri basi tambua kuwa kila timu itakukamia wewe, itataka ijipime kwako.

Sababu ya ukamiaji huo mdiyo maana kocha akapanga kikosi sahihi ambacho kilikua na wajibu wa kuhimili na kukabiliana na mipira ya aina hiyo, ila wachezaji wenyewe nao mdiyo hao hawajielewi
 
Simba na Yanga mshazoea kubebwa na marefarii ikitokea refa kachezesha fair mkipigwa mnaanza kulialia.
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.

Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.

Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Usijitoe ufahamu, kila siku mnajisifu kwamba yanga hakuna mfungaji sasa mmekutana na timu yenye wafungaji mnaanza kulialia. Na bado hadi gamondi akimbie.
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Rais kafanyaje?
 
Labda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?
 
Back
Top Bottom