Mhh mna midomoo...hapo bado hamjaingia makundi hahahhaHahaha hahaha,sister vipi tena
Haya kaka Uto...Tunakumbushana mwanalunyasi mwenzangu
Hahahahaha,mie nitoe sisterMhh mna midomoo...hapo bado hamjaingia makundi hahahha
Kwani wewe ni shabiki wa Simba kwa mwandiko huo?Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan
Leo baada wa Sudan wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.
Ndiyo maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
Shabiki na mwanachama hai mwanalunyasi mwenzanguKwani wewe ni shabiki wa Simba kwa mwandiko huo?