Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
Habari zenu wakuu?niliona tangazo la hawa watu kule zoom.com walikua wanataka research intern,sasa leo wamenitumia email niende kwenye usail.kama kuna mwenzetu humu anaewafahamu hawa watu anihabarishe kwa kunipa ABC zao na maswali wanayouliza kwenye usaili.pia ningependa kujua hizo nafasi zao za intern huwa wanalipa au napo hola tu?
Asanteni
Asanteni