Kwa jinsi lowasa alivyofuatwa na vyombo vya habari kuanzia dodoma ,na hii kashfa ya kuhamia cdm nadhani angekua na kitu cha maana angelikuwa ameshaajibu kijinasua na hiikashfa
CCM walitoa rushwa kwa Lipumba ili kuvuruga upinzani lakini mbinu hiyo haikulipa! Wananchi wakamdharau na Ukawa ikasonga mbele. Sasa CCM wameibuka na mbinu ya Penati ambapo Dr Slaa ndiye mpigaji penati wao. Je atafunga goli?