Kuna mwanamume anayebakwa?

kubaka or rape ipo kwa mwanamke tu, kwa mwanaume kulazimishwa bila ridhaa yake na mwanamke kufanya mapenzi ni kitendo ambacho bado hakijapata msamiati wa kiswahili, kiingereza wala hakuna sheria inayotaja ivyo. zaidi zaidi ni shambulio la aibu yaani sexual harrasment or assault. mf. mahakama imemkuta amina na hatia ya kufanya shambulio la aibu kwa kushika uume wa juma na kuuingiza ndani ya uke wake bila makubaliano rasmi ya kufanya tendo hilo. kama kulala tunasema nusu kufa ila kuna siku tunaamka tumedinda ku kujikojolea shahawa sembuse uone mbunye hata kama haukutaka uume waweza simama ndio maana nimesema ni shambulio la aibu akikushambulia uume utasimama tu labda uwe na tatizo la kutosimamisha uume.
 
Kwa mwanaume inaitwa exploitation na sio kubakwa. Kufanya mapenzi bila hiari kwa mfano anakuleta ndani kwa lazima anakuambia vua nguo, anakulazimisha isimame anakutishatisha na anakuambia ingiza hapa au fanya hivi. Pasi na wewe kuhiari. Amekuexploit.
Inatumika na kwa wadada wanaotembea na under 18.
 
Mapenzi sio mpaka kuingizwa pipe hata kunipapasa maeneo ambayo ni sehemu mahususi za kufanya mapenzi (viungo vya uzazi) bila ridhaa ya muhusika nao ni ubakaji pia
Sio ubakaji ni udhalilishaji kwa sheria za Tanzania na nchi zote za jumuiya ya madola hakuna kosa la kubaka/ kubakwa kwa mwanaume. Haipo kabisa.
 
Ha ha ha ha ha sumbai sio mzima wewe et akitaka tu lazma umfanye dah nmecheka sana
 
Natangaza rasmi nipo tayari kubakwa na mwanamke natamani sana,polisi msije kumsumbua mwanamke atakae nibaka
 
Mapenzi sio mpaka kuingizwa pipe hata kunipapasa maeneo ambayo ni sehemu mahususi za kufanya mapenzi (viungo vya uzazi) bila ridhaa ya muhusika nao ni ubakaji pia
Najaribu tu kuwaza kisheria utathibitishaje kua umebakwa?
 
Kimuundo na maumbile mwanamke habakwi, ni anaamua mwenyewe kwa hisia zake...

Cc: mahondaw
 
Mkuu nadhani labda haujui tu. Ila erection of penis ni involuntary process. Yaani unaweza ukaambiwa kabisa kwenye challenge kuwa unatamanishwa na mwanamke na ukidinda utafyatuliwa risasi ya kichwa, na demu akianza tu manjonjo yake uume unasimama regardless ya hatari ga kifo..!
So kama argument yako ya kuwa mwanaume hawezi kubakwa eti kwa kuwa mboo kusimama ni kwa kupenda (maamuzi yako) mwenyewe basi umekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…