Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,417
Hiii kituu huwezii ipangiaa isisimameee...!! Yanii hata ka hutakij ukionaa.kipochi kimeinamaa hapo mbele lazima isimameeDaaah me nahisi nna tatizo la kisaikolojia kumbe nyie kama hamtaki haisimami???? Me hata nisipotaka itasimama tuuu
Hapana. Kwan jukumu la mapenzi ni la me pekee kujishughulisha?Kuna baadhi ya watu wamejenga nadharia ya kuwa Yule mwanamke anayeshughulika sana kuliko mwanaume...mfano kukata viuno sana na mbwembwe kadhaa akizifanya mpaka jamaa apagawe ndio eti anakuwa 'amembaka' mwanaume...
Huo mtizamo bado haujaniingia akilini hata mimi
Ukiwa ktk stress mkuu.. Stress kuu huwezi simamishaDaaah me nahisi nna tatizo la kisaikolojia kumbe nyie kama hamtaki haisimami???? Me hata nisipotaka itasimama tuuu
Kwan hujui hadi isimame hadi, akili yako huhusika?mweka mada we ni ke au me..?
uume kusimama naweza sema kwa 5%-10% ktk mazingira ya kuchokozwa ni maamuzi yako hizo zilizobaki ni mwili wenyewe.. haya umetekwa inashikwashikwa namanjonjo yote imelala tu!!!! walai hufai hata ktk makinikia ya sisimizi
Hapana jukumu ni la woteHapana. Kwan jukumu la mapenzi ni la me pekee kujishughulisha?
[emoji23] [emoji23] hapo mwisho nimejikuta nacheka na kusikitika kwa mpigoMkuu watu wanabakwa saana.
Kubakwa maana yake ni hali ya kulazimishwa kufanya mapenzi pasio ridhaa yako. Sometimes unaweza kuwa na hisia lakini hujaridhia kufanya tendo husika.
Wadada wengi saana wanatufanyiaga haya mambo. Sema kwa vile sisi hatuna nguvu ya kusema basi tunakubali.
Kuna binti mmoja dah miaka hiyo alikuwa ananitesa saana. Yani hutaki ila ataninyanyasa kisaikolojia paka najikuta shetani kanizidi ujanja.
Yani akitaka tuu, lazima umfanye. Niliapa kutomsamehe
kuhusika kwa akili ndio lkn kumbuka hivi vitu ni stimulate,vikishashituliwa tu ubongo ukapata taarifa ngoma inogire,hiyohiyo akili yenyewe ndo inafanza kazi kama ni kukubaka anaanzia kwenye akili hiyohiyo huko anakuja kumalizia tu,sema hawa viumbe kuwa na uoga,maringo n.k imesaidia kiasi fulani maana sisi kubakika ni kidogo sana huitaji hata kujua A,B,C...😀Kwan hujui hadi isimame hadi, akili yako huhusika?
Ah ndio hivyo. Mkiamua nyinyi wanawake dahhhh hamshindwi[emoji23] [emoji23] hapo mwisho nimejikuta nacheka na kusikitika kwa mpigo
Tunaweza bila kuwezeshwa [emoji23] [emoji23]Ah ndio hivyo. Mkiamua nyinyi wanawake dahhhh hamshindwi
Huwezi kusema hutaki huku akili inataka na ina command pipe isimameMkuu watu wanabakwa saana.
Kubakwa maana yake ni hali ya kulazimishwa kufanya mapenzi pasio ridhaa yako. Sometimes unaweza kuwa na hisia lakini hujaridhia kufanya tendo husika.
Wadada wengi saana wanatufanyiaga haya mambo. Sema kwa vile sisi hatuna nguvu ya kusema basi tunakubali.
Kuna binti mmoja dah miaka hiyo alikuwa ananitesa saana. Yani hutaki ila ataninyanyasa kisaikolojia paka najikuta shetani kanizidi ujanja.
Yani akitaka tuu, lazima umfanye. Niliapa kutomsamehe
Kwenye kubakwa kuna mapenzi?Mapenzi sio mpaka kuingizwa pipe hata kunipapasa maeneo ambayo ni sehemu mahususi za kufanya mapenzi (viungo vya uzazi) bila ridhaa ya muhusika nao ni ubakaji pia