Kuna muda unatamani uende mbali, Ukabadilishe jina na namba ya simu Ukaanze maisha upya huko

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,166
Yaani kwa kifupi ubadilishe identity yako kukuhusu na uanze upya maisha yako peacefully ila ni jambo lisilowezekana.
20250503_105304.jpg
 
Zama huko migodini na visiwani ukabadili jina na hata jinsia. Zama makatavi na kigoma huko ukaishi hifadhi na wasukuma uanze maisha mapya.

Ndani ya miaka mitano unatajirika.
 
Tutafute pesa hakuna njia nyingine.
Watu wanastruggle na trauma hambazo hazihusiani na pesa mzee. Why mnahisi pesa ndio kila kitu?

Wengine hawakupendwa na hawakuwa na mahusiano mazuri na wazazi wao utotoni, wengine wazazi walikuwa wanawakwepa utotoni wapo busy kutafuta hela mtoto anaishi hamuoni mzazi ila anajua yupo?

Huyu mtu akiwa mtu mzima anapata shida kujenga mji wake, kutengeneza mahusiano na watu wengine anakuwa mpweke.

Akiwa na hela atazifanyia nini zaidi ya kuzigawa na kusaidia wengine ambao hawezi kuwa na mahusiano nao nje ya hela?

Michael Jackson alikuwa billionaire na hadi sasa amefariki bado anaingiza mamilioni kushinda wasanii walio hai wa sasa miaka kumi na baada ya kifo chake.

Lakini alikufa akiwa depressed na muda wote hakuwa na furaha na alishindwa kujenga mahusiano ya kawaida kabisa sababu utoto wake hakupitia makuzi ya kawaida na alikuwa exposed kwenye umaarufu mapema sana.

Justin Bieber huyo hapo ona alivyovurugwa. Utajiri wake last time ulikuwa ni Dola milioni 400+ lakini unaona kila saa analia lia kwenye media hana furaha.

Pesa sio jibu la kila kitu. Huwa nawatazama sana ninyi mnaowajibu watu kuwa watafute pesa kutibu maumivu ya mapenzi, maumivu ya kutengwa na wazazi, maumivu ya kusalitiwa kimahusiano, maumivu ya kusumbuliwa na ndugu. Watu wanastruggle wanataka kushikwa mkono wavutwe kutoka huko na sio kutafuta hela.
 
Watu wanadhani pesa ndio kila kitu.
 
Kabisa aisee
 
Watu wanadhani pesa ndio kila kitu.
Pesa huwa si kitu. Kuna siku nilipata hela yangu kubwa kwa mara ya kwanza ilikuwa ni milioni 5 sijawahi shika hela kubwa kiasi hicho before.

Nikaiweka kwenye account nikaenda kulala kwanza usingizi haukuja. Nikawa nawaza nifanye nini nayo inipe furaha. Mind you kipindi hicho nakaa chumba kimoja.

I felt so empty that day. Sikujua kitu gani cha kununua ambacho kingenipa maana au furaha ya kudumu. Tokea siku ile nikaelewa kuwa pesa inakuonyesha wewe ni nani ukiipata. Usipokuwa nayo unahisi unakosa vingi ila ukiipata unakuja kuelewa kuwa maisha yako yote haujakuwa ukijenga misingi mizuri ya kukudefine kama mwanajamii kiasi kwamba hata pesa ikija haitakubadili hata kidogo.

Imagine nimemtolea mfano Michael Jackson hapo. Alipoanza kutengeneza pesa kwa wingi akagundua alipunjwa utoto wake. Ndio maana akatumia pesa nyingi kuununua tena utoto wake na asiupate hata kidogo maana alishaukosa.

So funzo nilipata siku ile ni kuwa katika maisha kuna vitu vya kuvipa kipaumbele ili visitengeneze majeraha ya kudumu kwako na kwa wengine.

Imagine umekutana na mwanaume au mwanamke,halafu hamkuwa na hata mia but mkachagua kuyakubali maisha yenu na kuishi kwa kuridhika na kidogo mlichoweza kupata. Miaka kadhaa mbeleni mkashinda bahati ya pesa nyingi, say milioni 300. Then akili yako ghafla itataka uwe na mwenza wa kuspend nae hizo pesa ,sasa hapo ndipo utaanza question ya value ya mtu wa kuwa nae.So kama alikwepo hautahisi upweke ila kama alikuwapo kila atakaekujia utaona ni msanii kafuata pesa na ndipo hapo utaanza kuona maisha yako yana upweke na pesa zimeshindwa kukuletea mapenzi ya kweli maishani unakuwa mpweke unalala na kila mwanamke ukitafuta penzi la dhati.
 
Watu wanastruggle na trauma hambazo hazihusiani na pesa mzee. Why mnahisi pesa ndio kila kitu?

Wengine hawakupendwa na hawakuwa na mahusiano mazuri na wazazi wao utotoni, wengine wazazi walikuwa wanawakwepa utotoni wapo busy kutafuta hela mtoto anaishi hamuoni mzazi ila anajua yupo?

Huyu mtu akiwa mtu mzima anapata shida kujenga mji wake, kutengeneza mahusiano na watu wengine anakuwa mpweke.

Akiwa na hela atazifanyia nini zaidi ya kuzigawa na kusaidia wengine ambao hawezi kuwa na mahusiano nao nje ya hela?

Michael Jackson alikuwa billionaire na hadi sasa amefariki bado anaingiza mamilioni kushinda wasanii walio hai wa sasa miaka kumi na baada ya kifo chake.

Lakini alikufa akiwa depressed na muda wote hakuwa na furaha na alishindwa kujenga mahusiano ya kawaida kabisa sababu utoto wake hakupitia makuzi ya kawaida na alikuwa exposed kwenye umaarufu mapema sana.

Justin Bieber huyo hapo ona alivyovurugwa. Utajiri wake last time ulikuwa ni Dola milioni 400+ lakini unaona kila saa analia lia kwenye media hana furaha.

Pesa sio jibu la kila kitu. Huwa nawatazama sana ninyi mnaowajibu watu kuwa watafute pesa kutibu maumivu ya mapenzi, maumivu ya kutengwa na wazazi, maumivu ya kusalitiwa kimahusiano, maumivu ya kusumbuliwa na ndugu. Watu wanastruggle wanataka kushikwa mkono wavutwe kutoka huko na sio kutafuta hela.
Uko SAWA
Pesa sio Kila kitu
 
Back
Top Bottom