Kuna mtu kaniletea fruit package but since nimekula najiskia kuzimia

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
693
1,583
Kuna mtu kaniletea fruits package but since nimekula najiskia kama kuzimia, kuishiwa nguvu kwenye miguu, difficulty breathing na shindwa ku concentrate na pata frequently diarrhea, uti wa mgongo unaniuma Yani hali yangu mbaya sana.

Sasa sijui ni food poisoning Au kaweka sumu, Yani sielewi hapa namuwazia uku naumwa hivi, Yani Sijui nlikua namuamini but sielewi Au ni fikra zangu tu 🥲.

Nipo nae same environment kazini .
 
Kuna mtu kaniletea fruits package but since nimekula najiskia kama kuzimia, kuishiwa nguvu kwenye miguu, difficulty breathing na shindwa ku concentrate na pata frequently diarrhea, uti wa mgongo unaniuma Yani hali yangu mbaya sanaa . Sasa sijui ni food poisoning Au kaweka sumu, Yani sielewi hapa namuwazia uku naumwa hivi, Yani Sijui nlikua namuamini but sielewi Au ni fikra zangu tu 🥲.
Nipo nae same environment kazini .
Ni vyema ukawahi kwenda hospitalini ili kucheck afya mapema kabla mambo hayajaharibika sana. Please, chukua hatua mapema.
Huenda huyo aliyekuletea hiyo juice ya matunda ni "Afisa Kipenyo" (Penetrating Officer) au "Afisa Kificho" (Undercover Agent).
ALWAYS, KEEP IN MIND THAT:-
"The most dangerous enemy in your life is your closer friends, be very careful of whom you chose to be your friend."

Again:-
" Never trust anyone in your life except yourself."

MY OWN REAL EXPERIENCE ABOUT THE SIMILAR ISSUE (MY TESTIMONY):-
I have a worse experience about the similar issue. Only God saved me!
 
Kuna mtu kaniletea fruits package but since nimekula najiskia kama kuzimia, kuishiwa nguvu kwenye miguu, difficulty breathing na shindwa ku concentrate na pata frequently diarrhea, uti wa mgongo unaniuma Yani hali yangu mbaya sanaa . Sasa sijui ni food poisoning Au kaweka sumu, Yani sielewi hapa namuwazia uku naumwa hivi, Yani Sijui nlikua namuamini but sielewi Au ni fikra zangu tu 🥲.
Nipo nae same environment kazini .
Nenda hospitali, kama ni choo cha Kijani, hiyo inawezekana ikawa amoebiasis.
 
Kuna mtu kaniletea fruits package but since nimekula najiskia kama kuzimia, kuishiwa nguvu kwenye miguu, difficulty breathing na shindwa ku concentrate na pata frequently diarrhea, uti wa mgongo unaniuma Yani hali yangu mbaya sanaa . Sasa sijui ni food poisoning Au kaweka sumu, Yani sielewi hapa namuwazia uku naumwa hivi, Yani Sijui nlikua namuamini but sielewi Au ni fikra zangu tu 🥲.
Nipo nae same environment kazini .
Upo wapi muda huu nije kukusaidia?
 
So huenda saa hii amekata moto silently...
Possibly.
Hiyo ni kitu hatari sana, hususani kwenye hizi nchi zetu hizi ambazo tawala za nchi zinafuata mkondo wa sera za Ujamaa/Ukomunisti, ukizingatia kwamba huyu mtu mwenyewe tu avatar yake hapa JF anajitambulisha kuwa ni "Strong and Fearless." Kwa connotation inayopatikana kutokana na avator hii, huenda alikuwa yumo kwenye 'list yao' ya "WANTED."
Mambo ya namna hii ni ya kawaida sana nchini Urusi, ni zaidi ya hatari.
 
Back
Top Bottom