usikopeshe watu kwa riba ni haramu. acha mfumo huo. kuna njia zaidi ya bilioni za kutafuta fedha kihalali pitia hapa jukwaani utaziona. Muogope ALLAH.
Allaah Amehalalisha biashara na kuiharamisha riba - (Quran 2: 275)
Enyi Mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni yaliyobakia katika riba, ikiwa mmeamini. Na kama hamtafanya hivyo, basi fahamuni mtakuwa mmetangaza vita na Allaah na Mtume Wake - (Quran 2: 278 279)