deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, Nilikuwa natengeneza graphics inayohusisha handwritting ambayo ningependa kutumia rangi inayoonekana real.
Kama kunamtu anajua CMYK code colors za peni ya blu au nyeusi naomba anisaidie
Kama kunamtu anajua CMYK code colors za peni ya blu au nyeusi naomba anisaidie