Wapendwa,
Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini.
Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam aliyesoma vizuri (mfanya biashara au muajiriwa) nitamfanya awe mke wangu.
Napendelea awe na umri wa miaka kati ya 30 - 34.
Awe mrefu wa wastani (150 hadi 165cm)
Akiwa na bantu figure ni added advantage
Akiwa pia mzaliwa wa kilimanjaro ni added advantage
Kama anaweza kuongea kichagga cha kishumundu au Kipare cha ziwa jipe na kiingereza cha Marekani pia nitapenda sana.
Awe presentable na anaye weza kuongea mbele ya watu
kama anaweza kuendesha Vokswagen model ya 1972 ni poa sana kwani mimi napenda magari ya zamani
Kama yupo mwenye sifa naomba ani pm nitampa namba yangu ya BBM au Whats up tuchat
Hii bahati ni yangu....yani hapa on point. Umepata mke! naandaa CV yangu sasa hivi meanwhile shusha zako hapa hapa. Smile, Preta ndo hivyo kakaenu wa kichagga anavuta jiko karibu.
Hii bahati ni yangu....yani hapa on point. Umepata mke! naandaa CV yangu sasa hivi meanwhile shusha zako hapa hapa. Smile, Preta ndo hivyo kakaenu wa kichagga anavuta jiko karibu.