Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 711
- 1,508
mkuu naomba kujua PL zinazo Support backed kwenye flutter ukiachana na JS + dart, mm najua hizo mbili tuUzuri ni kwamba upande wa backend unaweza tumia language nyingine. Unamix language tofaut vizuri tu. Kma ukitaka kwenda flutter mazima ni lazima ujue na native language ya platform unazo target maana utakuja kwama vibaya
most wanatumia kwenye UI?Flutter bado inakua. Ndio kwanza imetoka kwenye beta stage. Kitu kikiwa kwenye beta makampuni makubwa hayawezi kukirukia. Ssahvi ndi inaanza kukua vizuri.
Kuna apps za Google tayari ziko built in fluttet kma Google Ads, Stadia App, Google assistant, na zingine zinaongezeka kma Google TV app, Google photos (soon). Na kuna app za company zingine eBay, Alibaba, nk.
Ukitaka kutumia flutter fully kwa sasa lazima ujue na native language za target platforms ili ukikakwa unaingiza tu JS or Kotlin or Swift
Target yangu hasa ni android +ios tu asante sana mkuu hiyo native niko gizani naanzia wapi hasa mkuu nionyeshe japo njia yaani hizi terminology zenu zinasumbua vichwa naomba unieleweshe kwa just plain simple layman language asante sana.Una target platform gani? iOS + Android + Web? Au android tu? Kma platform ni moja tu ni bora ufanye native tu
Actually flutter backend zipo 3 tu; dart, Node.JS na Firebase. Ila ni kwamba unaweza tupia platform specific code kupitia API zao kma unachotaka kufanya hakiwezekani na Flutter peke yake. Ndipo unapoweza andika logic ya kuita feature flani kutoka kwenye OS ambayo haiwezekani kwa kutumia Flutter tumkuu naomba kujua PL zinazo Support backed kwenye flutter ukiachana na JS + dart, mm najua hizo mbili tu
Mtu akisema native anaamaanisha kutumia official programming language iliyowekwa na walio tengeneza/maintain Operating system ambazo ndio wanatengenezea APITarget yangu hasa ni android +ios tu asante sana mkuu hiyo native niko gizani naanzia wapi hasa mkuu nionyeshe japo njia yaani hizi terminology zenu zinasumbua vichwa naomba unieleweshe kwa just plain simple layman language asante sana.
Sawa mkuu hapo nipo sawa shukranMtu akisema native anaamaanisha kutumia official programming language iliyowekwa na walio tengeneza/maintain Operating system ambazo ndio wanatengenezea API
Mfano wa native languages kwa specific OS;
Android - Kotlin, Java & C++
iOS & macOS - Swift, C, C++ & Objective C
Windows - C#, C and C++
Nope!Kweli hii ni future ya Android na Ios app development. 💪💪
UI kwa upande wa Android sio shida sana. Mwanzoni utapata shida kujifunza unapoanza lakini ukiisha jifunza kanuni za material design na ukapiga app mbili tatu unakuwa vizuri!Flutter kama unatengeneza simple app au website tumia fluatter, kama app yako ni complex, app kama ya kufanaya payment(digital banking), insurance au health. timia language nyingine kama java ivi, sema java UI in majanga kamahauna basic skills in UI in App devlopment
Android jifunze kwanza Kotlin then jifunze jinsi ya kuandika Android Platform codesTarget yangu hasa ni android +ios tu asante sana mkuu hiyo native niko gizani naanzia wapi hasa mkuu nionyeshe japo njia yaani hizi terminology zenu zinasumbua vichwa naomba unieleweshe kwa just plain simple layman language asante sana.
Kotlin iko stable zaidi ya Flutter mana hata dart kwenye compile yake hua ina kua translated kwend Kotlin firstTatzo lao hawaeleweki. Wana advertise Kotlin kwenye android sana huku wana advertise watu watumie Dart with flutter pia. Kipi ni kipi sasa.
Java is massive to all language in all aspect ila sio mzuri kwenye UI kama flutterJava > Kotlin
Kotlin ni stable zaid but flitter is monster kama itakua stable kama ilivyo Kotlin sasa and they are doin very oky on thatTatzo lao hawaeleweki. Wana advertise Kotlin kwenye android sana huku wana advertise watu watumie Dart with flutter pia. Kipi ni kipi sasa.
nani kasema haipo stable ? au muktadha upi ?Kotlin ni stable zaid but flitter is monster kama itakua stable kama ilivyo Kotlin sasa and they are doin very oky on that
Nadhani anaongelea general stability. Bado kuna performance issues kadhaa na kuna features zina miss. Kotlin with Android ipo more stable kwenye swala hilonani kasema haipo stable ? au muktadha upi ?
SDK zake zipo categories 3 , unachagua stable, beta au dev
kama zipi ? lags ? kama umechukua stable SDK, tegemea stable performance, nimefanya few flutter based apps siku spot issue yoyote juu ya stability, may be nimefanya chache, may be sikufanya za native then nikompeeperformance issues
ni kweli maana native iko bora kuliko crosskuna features zina miss