Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,832
- 1,047
Nimeskia analamba sana sisimizi na ni kazi kumuuaHuyo ni insectivorous anakula wadudu.. Anaweza kuvunja kichuguu chote just to get termites..
anakula mchwa?Kuna mnyama nataka ni mtafute documentary zake YouTube ila simjui jina lake. Sifa zake ni pamoja na kuwa na kucha ngumu sana na ana uwezo wa kuchimba udongo. Ukubwa wake ni kama nguruwe na ni jamii fulani ya nguruwe. Naskia hata simba hawez kumuweza. Akirarua na makucha yake yenye nguvu anatoboa mpaka utumbo. Common name yake nani? Wanatasisi nisaidien
Yeah.. Maana anaulimi mrefu sanaNimeskia analamba sana sisimizi na ni kazi kumuua
Ndio ana vunja sana vichuguu. Nyama yake pia inaliwaanakula mchwa?
Mkuu we umesoma mambo yote uzoologist na botanistKaribu mkuu maana hii ni fani yangu...
Huyo ni fungoAnaitwa muhanga
Kweli inaweza ikawa huyu.Muhanga
Sio mhanga?nadhani nlishwahi kumuona tbc tena anafukua vichuguu na anapenda kutembea night jina me mwenyewe holaa!
Tabia ya kuingiza ulimi wake mrefu kwenye mashimo ya vichuguu kuwala wadudu asiowaona ndiyo imeleta maana ya kujitoa muhanga.Mnyama ni huyu kiswahili anaitwa muhanga.
simjui jinaSio mhanga?
Sijui jina la kitalaam ila wanaitwa Muhanga sijui ni kwanini,Singida wengi sana na wanachimba sana mashimo,shughuli hyo wanapenda kufanya ucku,wanapenda kufukua sehemu yenye wadudu wengi.Tabia ya kuingiza ulimi wake mrefu kwenye mashimo ya vichuguu kuwala wadudu asiowaona ndiyo imeleta maana ya kujitoa muhanga.
Warthog ni ngiri mkuu sio mhangaWarthog au mhanga kwa Kiswahili.
Yethu wangu, ngoja nirudi kwenye madesa kidogoWarthog ni ngiri mkuu sio mhanga