Sisi hatulali.Usiku huu tunalala wenzio
Unajua unachoongelea? Kwa hiyo mke ana jinsia gani?Mke;
Ni mwanamke mwenye sifa za kike na matendo ya kike.
Mwanamke:
Ni mwenye jinsia ya kike.
Si kila mwanamke ni mke
Kama umelelewa na kupewa elimu na ccm huwezi kuelewa, tulia hadi tar 29 oktoba angalau akili itakukaaUnajua unachoongelea? Kwa hiyo mke ana jinsia gani?
Shukrani kwa maelezo mazuri.Mke;
Ni mwanamke mwenye sifa za kike na matendo ya kike.
Mwanamke:
Ni mwenye jinsia ya kike.
Si kila mwanamke ni mke
Swadaktaa. Sasa utamjuaje yupi anafaa kuwa mke na yupi ni kinyume chake ?....mke ni cheo chenye hadhi yake maalumu,Ila sio kila mwanamke anafit Kwenye hcho cheo japo kila mwanamke anatamani apate hcho cheo...tatizo vigezo na masharti.
Ni sahihi.Habari za usiku huu watoto, vijana na wavyele pia.
Sitaki kuelezea hadhi na jinsia ya Mwanamke, bali natafuta ithibati na uhakika wa kauli hii: "Kila Mke ni Mwanamke lakini si kila Mwanamke ni Mke"
Wanandoa wote karibuni sana, bila shaka kauli hii mnaweza kuipa haki yake katika maana sahihi. Kwa kunionyesha je ina ukweli ndani yake au ni kinyume chake?
Kuwa na sifa haitegemei kazi anayofanya bali sifa yake.Shukrani kwa maelezo mazuri.
Sasa hawa wanawake wanao fanya kazi zenye haiba ya kiume hawana sifa za kuwa mke bila shaka, kwa kuzingatia maelezo yako. Hili tunakubaliana sote au una kipingamizi katika hili ?
Ni vigezo na masharti huzngatiwa mkuu....ukiwa na sifa za mme Basi utamvuta mke mwenye sifa za mke..Swadaktaa. Sasa utamjuaje yupi anafaa kuwa mke na yupi ni kinyume chake ?
Kuna kukaa pamoja na kuishi pamoja.Watu wengi wameoa lakini hawana wake bali wana wanawake.
Kuwa na mke ni kitu kingine acheni kabisa.
Narudi.....