Inawezekana kabisa kukopa kwa dhamana ya kiwanja, muhimu ni kiasi cha mkopo kama kinaendana na thamani ya kiwanja. Mfano una kiwanja chenye thamani ya Tzs.30million na unataka mkopo wa 15million, hapo thamana itakuwa imekidhi wewe kupata mkopo.
Note: Kuna viwanja hapa bongo vina thamani zaidi ya nyumba, wewe pita pita mitandaoni utaona Chamazi Nyumba inauzwa 50million lakini pande za Bunju, Mbweni, na Salasala ni bei ya kiwanja.