... Aisee kuna michepuko haiachiki. Kila ukijaribu tu image ikija unajipeleka. Utakuta mdada ana kila idara unayoihitaji, yaani kila utakacho unapatiwa.
Yaani ile unapanga visa na mikasa balaa ya kumuacha, ukimuona tu, mipango yote ya medani za kivita za Kim Jong Un unatupa kando.
Sasa ile sauti ake... Duuuh! "Baby, leo nikupe nini wangu? " unahisi kama upo Paradiso.
Sasa acha ajaribu kukugusa, oooh! Ramani nzima ya vita unamkabidhi. Utashangaa miaka inapita, unachepuka tuu! Ukijifanya kuvaa miguu ya Usain Bolt, eti utoke nduki, akikutext tu, utarudi fasta Mbeya hata kama ushafika Msamvu Moro!
Kuna watoto wameumbwa jamani... Ntatoka kweli??
Nisaidieni mwenzenu mbinu mpyaa!!
View attachment 768449View attachment 768450