ragazzo saggio
Member
- Jan 10, 2018
- 26
- 12
you tube napatikana kwa jina LA MENE JEITupia Youtube tuione kazi yako. Ni ushauri tu. Kazi ikionekana utatafutwa tu.
...ndo jina la ki-hiphop hili eeh?you tube napatikana kwa jina LA MENE JEI
bro umetisha saana ebhana nashkuru nipe maoni yakoPale nyumba pale gari pale msosi* Pale warembo ndio ndoto za mabosi inakuwaje* Kwa wewe jua la utosi?
Pale Mungu pale mganga pale Rosie* Akili yake pale ng'ombe wa masikini hazai.
bro cm yangu aina uwezo sana ila ukishaandika mene jei ukisearch angalia orodha vizuri utaona Many jay the king [HASHTAG]#World[/HASHTAG]Kazi haionekani. Ingia youtube kisha halafu share kwenye hii page.
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza kuiskiliza audio yangu YouTube channel yangu kwa kuandika MENE JEI
my nick name is Many jay the king
nashukuru sana kwa maombi yako amina mkuu na ushauri nimeupendaMdogo wangu nakushauri haraka sana na kama kweli unajiamini kuwa una uwezo kimbia upesi siku ya Jumatatu pale Clouds Media Group ulizia Mtangazaji yoyote wa Kipindi cha XXL kisha fanya nae mazungumzo kuhusu uwezo wako na kipaji chako au ukiweza pia nenda haraka pale THT Kinondoni maeneo ya Leaders Club onana na Dada mmoja hivi ( jina limenitoka ) ambaye ndiyo Msimamizi Mkuu na mpango mzima katika masuala ya muziki na uendelezaji wa Vipaji vya Wanamuziki na naamini hutotoka bure na ama utapata mwangaza fulani wa Kimuziki au watakusaidia na hatimaye kuweza kutimiza Ndoto yako Kimuziki.
Nikutakie tu kila la kheri na nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akubariki na akufungulie njia yako ya Kimuziki na ufanikiwe.
Humu sio umumi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza kuiskiliza audio yangu YouTube channel yangu kwa kuandika MENE JEI
my nick name is Many jay the king
Mkuu upo vizuri sana jitahidi kujisogeza na watu wanaowajua wasanii na ma producer. Nawe upate kuingia kwenye fanibro umetisha saana ebhana nashkuru nipe maoni yako
Jina lenyewe kwanza haliendanii