Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Hivi kuambiwa mbaili na msichana maana yake nini ni kama sielevi vile, yeye anasema alikuwa anategemea akikohoa tu anataka hela nimpe haijalishi ni muda gani au ni siku gani.
Hivi kweli unaweza ukamfanyia mtoto wa mwenzio hivyo kweli, mama kijijini hatumii smart phone kabisa, yeye ananiambia akikohoa tu akute nimempa iPhone X, sio mchumba wangu, wala gfriend huenda anajihisi kuwa tayari ameshakuwa.
Ebu mliopo kwenye mfumo njooni mtuambie ndo hivyo huwa mnakoholewa na mnatenda eti, maana naye anasema nikikohoa tu anafungua miguu naingia, mi sijawahi na sihitaji icho kitu kwa sasa inakuwaje.