Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,014
- 15,868
Ushauri mzuri lakini ngoja nisikulizie maana sjaitoa badoRudisha
Sema shetani ananiambia huoni jua kali na roho nzur umeanza linMrudishie tu huwezi jua
Sema kwa wakala iyo 166k ungeichukua ni hasara kwasabau ungefungiwa laini ingekugharimu zaid ya laki 2 kupata nyingineUsifurahie pesa iliyotumwa kwako kimakosa, huwezi kujua ilikuwa na umuhimu gani kwa mhusika.
Mimi kuna mtu alikosea jana alituma kwenye lipa namba 166,000 kucheki namba haipo kwenye mzunguko wa kazi. Nikajua kabisa huyu kachochora...
Hongera kwa kumaliza module ya remote sensingNIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha...
Rudisha maana utasup kwa Prof: Nzunda😂NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha...
Laki 2 kupata laini nyingine au mimi ndio sijaelewa?Sema kwa wakala iyo 166k ungeichukua ni hasara kwasabau ungefungiwa laini ingekugharimu zaid ya laki 2 kupata nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifurahie pesa iliyotumwa kwako kimakosa, huwezi kujua ilikuwa na umuhimu gani kwa mhusika...
Yaah zile line za uwakala zinauzwa bei kichizii...zinafika laki 2Laki 2 kupata laini nyingine au mimi ndio sijaelewa?
Aaah! That's okay. Nilihisi ni hizi laini zetu za kawaida tu.Yaah zile line za uwakala zinauzwa bei kichizii...zinafika laki 2
Sent using Jamii Forums mobile app