Watu wote wanaomsikiliza Bashite wao ndio wenye matatizo siyo Bashite himself.Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
Kweli aiseeUshaambiwa na Gwaji boy kuwa Bashite alizungusha duara kuanzia primary, kisha form 4 akapata Fight For Food For Four years (yaani F5 za NECTA) halafu leo wewe umekaa unamsikiliza huyu jamaa. Kabla hujamsikiliza anayosema jiulize kwanza kichwani kwake kuna nini?
We ulimuamini?Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
Kama huzijui akili za Makonda utasumbuka sana...Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
Mbona hawataji?Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!