kuna matumaini?

marveljt

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
1,503
1,479
Je, kuanzia bunge limeanza mwezi wa nne kuna mbunge/ Waziri yeyote aliyetetea au kutoa hoja ambayo imemgusa mwananchi moja kwa moja?
Je,unadhani hoja huyo itafanikiwa kwa zaidi ya 80%? Je, katika uwasilishwaji huo kipi kilipewa kipaumbele chama,kanda,eneo n.k

Eleza kwa upande wako bunge hili limekugusa au limekusahau
 
Back
Top Bottom