Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.
Tena akikuta dem kichwa mbovu anakuja na wenzie watatu unawakuta wameshaagiza msosi samaki samaki.
walio na kampuni binafsi ndo wanastaili kufanyiwa hivi?sasa wew wakati unamfata ulimwambia unamiliki kampuni yako binafsi ulitegememea nin.ni bora ukawa na mpenz ambaye anajua maisha halisi ya mpenzi wake ilinae ajishitukie katika matumizi yake...
Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.
Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.
Watajuta, Nitakavyowaekea uso wa mbuzi hicho chakula mbona kitachacha kabla hawajala.. 😡
ungechelewa ningedai picha