Kuna mapenzi kweli hapa jamani?

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA kwa Shangazi,ntakuja kwenye Saa 1 na nusu hivi na Taxi,nikifika ntakubeep utatoka uje kumlipa dereva pale kwenye Entrance ya ATM ya CRDB pale,sawa bebi eeh,xoxoxo'
Ukimwambia apande Bajaj ili angalau Cost ya Usafiri ipungue hataki anakwambia,'No Baby, Bajaj kelele sana halafu naogopa ajali coz hazina Seat Belt'
Ratiba umeanzisha wewe...Hela ya Taxi nilipe mimina Tiketi ninunue mimi..Taxi Kutoka Kitunda hadi Mlimani City kweli???
Hivi nyie Viumbe mnadhani Boxer zetu zina Mbolea kwamba tukiamka tunakuta Elfu Kumi Kumi zimechipua asubuhi ama??Hata kama ndo unamkomoa mtu jamani khah,ghrama zote hizi halafu unaambulia busu kwenye shavu,kiruu!
Kwa mwendo huu Bora kuwa single haki ya nan
 
wewe wacha kelele wee lipa akifika cbupi atavua tuu unamgegeda alafu jnajidai umekosea tundu unatelezesha mwenhe tigo....akipiga kelele unamwambia bby hii hapa million uone kama hataachia marinda hayo
 
pole sana, mwambie apande daladala sh 400 hadi banana kisha apande daladala ya ubungo sh 500 na ataunganisha nyingine kufika mlimani city kwa 300 tu, jumla mtumie elfu 2000 kwenye simu yake, akikataa mwambie utainunua hiyo movie umtumie aiangalie nyumbani kwake.
 
pole.....dada zetu wnashidwa kuvumilia umaskini...ukichanganya na kaushamba inakua mapenzi magumu.....but be honest mwambie huna hela(USIMWONEE AIBU) mwambie UKWELi utakua huru hata yeye atajitune na kukubali zaidi kama ANA AKILI
 
sasa wew wakati unamfata ulimwambia unamiliki kampuni yako binafsi ulitegememea nin.ni bora ukawa na mpenz ambaye anajua maisha halisi ya mpenzi wake ilinae ajishitukie katika matumizi yake...
 
hapa ndio umuhimu wa kuwa na mpenz wa kishua kutoka mikochen,kwan yey anataka mapenz 2
 
Sasa wewe wataka ule tu kuliwa hutaki bwana kwanini?
 
Amekuona KOLO mkuu kama jina lako lilivyo......ana ku-engeneer huyo tupa kule
 
Haha.....kiruu mnawapata wap ao wadada wa ivo na mie wakanipe coz
 
Tena akikuta dem kichwa mbovu anakuja na wenzie watatu unawakuta wameshaagiza msosi samaki samaki.

Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.
 
wewe wacha kelele wee lipa akifika cbupi atavua tuu unamgegeda alafu jnajidai umekosea tundu unatelezesha mwenhe tigo....akipiga kelele unamwambia bby hii hapa million uone kama hataachia marinda hayo


hahahahahaha

you made my day mkuu,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…