daah..huyo jamaa fisi kweli..amekula utam wako na akasepa kwa mkewe...Hi there!
Ok katika maisha kuna matukio yanatokea alafu baadae unajikuta unajilaumu au kujutia sana.
Binafsi najutia kukutana na kijana mmoja ambaye tulipendana sana
Lakini baada ya kusumbuana akawa na mawivu kupindukia nikajagundua ana mke na watoto wa3 lakini moyo wang haukuacha kumpenda hadi leo.
Pamoja na kumpenda nilimwacha aende namuwaza sana japo nimemblock kila sehemu nailaani sana siku niliyokutana nae.
Elezea na wewe unachojutia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya juhudi gani kuwaondoa watoto wako katika majuto hayo??? Au ndio lawama kama jadi!!?
Fursa gani Mkuu joserverest. .??Najuta kipindi kile nikiwa na pesa ya kutosha nilidharau fursa moja nzuri ya biashara, wenzangu walioiona hiyo fursa sasa hivi wapo mbali
Mojawapo ni hiyo FOREXFursa gani Mkuu joserverest. .??
Na hii forex ndo I nakuacha ivooo
Nokia ya Torch
Kwa hiyo Mkuu sa hivi kila fursa utakuwa nayo bampa to bampa sioMojawapo ni hiyo FOREX
BITCOIN
na ya kufungua music library yangu binafsi
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
yeah mkwanja ukae fresh mfukoni kwanzaKwa hiyo Mkuu sa hivi kila fursa utakuwa nayo bampa to bampa sio
Nokia ya Torch
YAN ww ungezaliwa familia Tajir ulikua unafaa Sana kwa NDAGU mana huna maana
kaushaIt is no use, to think of yesterday while you have tomorrow