Lakini ndugu kasema ueleze tu......Najutia kutonunua bitcoin zilipoanza, ningetumia dola 50 tu ningekuwa milionea sasa.
Wangapi wanajutia kumpigia kura Magufuli?
Kwani sijaeleza?Lakini ndugu kasema ueleze tu......
Mimi sijutii chochote mpaka nilipofikia sasa, ila nipo tayari kupatwa na majuto kupitia wewe nakuja kwenye PM yako natumaini ushirikiano wako tupambane na huo upweke wako ili usiendelee kujutajuta unapoacha na mtuu unapaswa umsahau kabisa sio kulialia hapa.Hi there!
Ok katika maisha kuna matukio yanatokea alafu baadae unajikuta unajilaumu au kujutia sana.
Binafsi najutia kukutana na kijana mmoja ambaye tulipendana sana
Lakini baada ya kusumbuana akawa na mawivu kupindukia nikajagundua ana mke na watoto wa3 lakini moyo wang haukuacha kumpenda hadi leo.
Pamoja na kumpenda nilimwacha aende namuwaza sana japo nimemblock kila sehemu nailaani sana siku niliyokutana nae.
Elezea na wewe unachojutia!
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeNajutia kutonunua bitcoin zilipoanza, ningetumia dola 50 tu ningekuwa milionea sasa.
Wangapi wanajutia kumpigia kura Magufuli?
Bora wangefanya abortion tu right?
HawakujipangaBora wangefanya abortion tu right?
Aliwamba vizuri kabisa Ila umaskini naona walijitakia
Hujajibu swali.Hawakujipanga
Akili ni nywele kila MTU ana zakeLakini ndugu kasema ueleze tu......
[emoji15] [emoji87] hiyo hapana aisee
Asante sana kwa somo zuri.nimenote kitu.Katika maisha kuna 'kujifunza' tu na tukiweka dhana hiyo kichwani hisia za kujuta zinapungua na mambo mengi yanatokea ktk maisha ni kama somo hivi na ukija tulia au ikipita miaka mingi ndo unagundua yaliyokutokea yalipaswa kutokea ili wewe kuwa kama 'rejea' kwako na kwa wengine
Kuna baadhi ya watu tunawaona wana uelewa mkubwa, uvumilivu , subira nk hasa katika vipindi vigumu kwa sababu walipitia maisha fulani yakawapa somo
Kwahiyo dada yangu usijute sana ukitulia utaona kuna somo zuri tu na litakusaidia ktk maisha yako yajayo kikubwa umejifunza na utakuwa makini sana ktk chaguzi zako na sio ktk mahusiano tu hata mambo yote katika maisha kwa ujumla wake
Na kumbuka hapa duniani kila mtu anajifunza kwa namna yake na wengine tunafunzwa 'through hard way' na ndo unaibuka uimara mkubwa hapo kikubwa usiangushwe tu na changamoto hii chukulia kama somo tu na uwe makini katika maamuzi yako mbele ya safari na kumbuka tena 'hatujuti bali tunajifunza'
Kwahiyo mimi sina cha kujutia nacho jua kuna 'wrong moves' nilifanya ktk maisha na nitaendelea kufanya lkn nachukulia kama somo