Kuna mtu mmoja anaitwa Donald Rumsfeld aliwahi kusema:
"Kuna mambo tunayojua kwamba tunajua.
Halafu kuna mambo ambayo tunajua kwamba hatujui.
Lakini pia kuna mambo ambayo hatujui kwamba hatujui."
Mzee mwenzangu, unakubaliana naye huyu jamaa kwa analosema au unadhani alipiga cha Arusha kabla hajaongea maneno hayo?