Kuna mahala Simba SC tunakosea

Kuna mahala Simba SC tunakosea

Simba alikuwa anagongwa tano kutokatana na approach ya kocha mkuu.....Ugenini anashambulia tu, as if wako level moja na Ahly...
Usajili bado haujafungwa...ko subiri Ukuta lazima uzingatiwe...
Wameshaanza na Ame na Kameta kama backup ya Kennedy na Kapombe......
Bado beki moja ya kimataifa hivyo unapaswa kutulia mkuu.


Hahahaha we jamaa umenichekesha kinoma. Eti mmeanza na ame na kameta. yaani hao ndio wakupunguza zile 5?
 
Mbona kule ujerumani Bayern Munich anambomoaga sana Dortmund?

Chukua mafuta ya mawese upake usoni. maana naona ushaanza kuchanganyikiwa. Yaani mfumo wa usajili wa bayern ulioonyesha matunda unaufananisha na mfumo wa usajili wa simba ambao hujawahi kuonyesha matunda licha ya kutumika kila msimu.?
 
Ndo matatizo ya kuwa na viongoz wa kiswahili Swahili Hawa mkuu Hatuwez kuwaza mbele Uko ligi ya mabingwa ET sis tunawaza apa Tanzania tu kumharibia yanga bhas huu n utahira tena n uzuzu
 
Hahahaha we jamaa umenichekesha kinoma. Eti mmeanza na ame na kameta. yaani hao ndio wakupunguza zile 5?
Mkuu unamfahamu kameta "duchu"?
Ni backup nzuri kwa kapombe kuliko shamte.
Kaangalie mechi za coastal tena utajua Ame ni nani.
Then mkuu ulitaka kikosi chote kitoke nje ya nchi?, kwa wachezaji wa ndani kwangu hao ni bora sana.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndo matatizo ya kuwa na viongoz wa kiswahili Swahili Hawa mkuu Hatuwez kuwaza mbele Uko ligi ya mabingwa ET sis tunawaza apa Tanzania tu kumharibia yanga bhas huu n utahira tena n uzuzu
Duh yaani hujui kwa Nini ilitangazwa Jana na Leo wameiondoa kwenye IG page yao, huwa nacheka Sana mnavyolumbana.

Habari za mzee wa Belgium kuchukua fomu kwishney.

#TunaendeleanaMagufuli2020-2025
 
Chukua mafuta ya mawese upake usoni. maana naona ushaanza kuchanganyikiwa. Yaani mfumo wa usajili wa bayern ulioonyesha matunda unaufananisha na mfumo wa usajili wa simba ambao hujawahi kuonyesha matunda licha ya kutumika kila msimu.?
Matunda yapi Unataka, simba amedominate ligi ya Tanzania miaka 3 sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Walisema Yanga imesaini mwizi wa magari. Labda wanamtaka akaungane na Mzungu pori kuiba na kutapeli magari.
Hadi sasa sipati picha kitakacho kuja kujitokeza baada ya kikao na tff
 
... Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa.
Wakosoaji wapo popote tu, wawe wa nje au wa ndani. Kama timu imefuzu hatua ya makundi, ikapenya na kushika namba mbili katika kundi, ikacheza robo fainali, na na bado unasema haijafanya chochote, nina mashaka na uSimba wako!
 
Kulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.
Morrison amechukua nafasi ya deo kanda anaerudi kwenye timu yake ya Tp mazembe, siunajua alikuja simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
 
Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Hebu nikuumbue hapa kwamba wewe ni shabiki wa chura, sio wa mnyama. Nakuwekea post yako moja tu kati ya nyingi:
Piga Mikia hiyo....Tuko upande wenu kiroho ndugu zang wote wa Singida United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba na Yanga saivi ni zaidi ya uadui hamna utani tena, hili garasha lenu morison mnaongea sana kisa tumemsajili ila atatusaidia kuwafunga nyie vyura.

Saivi tunawaza kushindana na As vita, Tp mazembe, M sundowns sio utopolo wa kupiga 4G

Utopolo tulieni tukawatafutie nafasi za viti maalum mwakani na nyie mshiriki mnaanza kuleta gubu la mke mwenza
 
Kwani yanga walipokuwa wanamchukua Ajibu hawakua na nia ya kuharibu simba?
Well said. Kuumizana.
Sajili za Gardiel, Ajib, Beno na sasa Morrison zimelenga kuiharibia Yanga kuliko kuimprove Simba.

Tayari kwa hao watatu wa mwanzo imeonekana dhahiri.
La Morrison ni njama ya kusema kuwe na mgogoro tumkose wote.
Meanwhile, hakuna efforts za kukwepa zile tano za ugenini champions league.
 
Back
Top Bottom