Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Kitengo cha maafa vipi hakijasaidia chochote, au kwasababu ni wapuuzi na wahaini!Yalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!
Kitengo cha maafa vipi hakijasaidia chochote, au kwasababu ni wapuuzi na wahaini!
Plz weka hewani jinsi ya kufikisha msaadaYalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!
mkuu hizi sio tetesi yalitokea kuanzia ijumaa ya tarehe4, na athali zake bado, ilikuwa mshikemshike.Habari nilizopokea hivi punde kuwa mtwara kuna mafuriko plz any observer amwage habari hapa tafadhari
Yalishapita,yaliathiri baadhi ya maeneo na shule, wahanga bado wapo kambini,unaweza kuwasaidia kwa chochote ulichonacho kutoa ni moyo!
Nadhani hujamuelewa mtoa mada.
Au labda kwa kuwa mafuriko yalishatokea hayawezi kutokea tena, maana mtoa mada anasema ni hivi punde
Nzuri,habari ya wewe.