Kuna madhara yoyote ya kuendesha gari kwa mkono mmoja?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habari ya hapa jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo.

Kwa kweli mwenzenu siwezi kushika usukani wa gari kwa mikono miwili. Imekuwa kama ni kilema kwani natumia mkono mmoja tu wa kulia kushika usukani na kuendesha gari. Nikitumia mikono miwili nakosa balance kabisa.

Je kuna madhara yoyote kwa hii tabia ya kuendesha gari kwa mkono mmoja??
 
Ulipopitia udereva ulifundishwaje?
 
habari ya hapa jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa
kweli mwenzenu siwez kushika usukani wa gari kwa mikono miwili

imekuwa kama ni kilema kwani natumia mkono mmoja tu wa kulia
kushika usukani na kuendesha gari
nikitumia mikono miwili nakosa balance kabisaa... Je kuna madhara yoyote kwa hii tabia ya kuendesha gari
kwa mkono mmoja??
kama huo mwingine haupo au nikilema hamna shida ila kama upo na nimzima ila unatumia mmoja nishida
 
Hamna madhara kama una control haina shida. Ila kofia nyeupe wasikuone maana watakung'ang'ania vilivyo... mpaka utoe hela yao
 
Habari ya hapa jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo.

Kwa kweli mwenzenu siwezi kushika usukani wa gari kwa mikono miwili. Imekuwa kama ni kilema kwani natumia mkono mmoja tu wa kulia kushika usukani na kuendesha gari. Nikitumia mikono miwili nakosa balance kabisa.

Je kuna madhara yoyote kwa hii tabia ya kuendesha gari kwa mkono mmoja??

Labda umejifundisha au umefundishwa vichochoroni , Lakini kama kweli ulienda Shule ya Udereva na ukafundishwa vizuri nafikiri usingekuwa unafanya hivyo. Hizo ni mbwembwe tuuu ukikua utaacha.
 
Tatizo lipo siku utakapopata dharura ya gafla kama tairi kubast au kugonga mtu au mnyama mwingine coz mkono moja lazma uende chin hutoweza kubalansi gar katika mazingira hayo kwa mkono mmoja
 
Unatakiwa uendeshe kwa mikono miwili mara nyingi kulia huwa ni mkono wa kulock yaani hata kama sehemu ni mbaya ukiwa umelock na kulia gari haiwezi kuyumba sana ila kushoto huwa unacheza sana. Ila uendeshaji wa mjini hapa unaweza kulemaa kweli ila ukipiga route ndefu mikono miwili ndio mtindo asee.
 
Mimi ni left handed kwahiyo muda mrefu mkono wangu huwa kwenye gear liver kama naendesha lorry kubwa,manual kama ni automatic huwa mkono mmojawa (kushoto) kwenye streerig na wakulia huwa naweka kishoka,nimeshapata ya tyre burst kama nne hivi lakini niliweza kulidhibiti gari langu bila wasiwasi ila wakati na overtake lazima nishike kwa mikono miwili.
 
Hiyo mambo ya kishoka ni mbwembwe tu.mvua ikinyesha huo mkono unauweka wapi? Acheni kufundishana ujinga. Tii sheria bila shurti. Nyie ndio mkikamatwa mnaanza kulalamika au ukipata ajali mnajitetea ujinga.

Pili katika udereva mkono hauruhusiwi kuwa juu ya gia mda wote laba uwe unabadilisha gia na pia hairuhusiwi mguu kukaa kwenye clutch labda tu uwe unabadili gia.

Kuweni makini kwa maisha yenu na yawanaowanzunguka
 
Back
Top Bottom