Hautakuwa na latest version. Ila somtym unawez ukawa unaface tatizo flan hivi kweny app husika zen wanavotoa updates mayb ikawa washasolve na lile tatizo. So its better 2be up to date
Lakini kuna opposite case pia, wakati mwingine unafanya update kumbe ndo inaleta tatizo au mbaya zaidi App ambayo ilikuwa haina matangazo inaweka matangazo kwenye new update au inaondoa features. So ni muhimu kusoma reviews mpya kabla ya kuupdate.

Tatizo si kuzifanyia update tu kila zikukuambia Uzifanyie Update. Angalia Kama Unapata Tatizo Fulani kwenye hiyo App mfano Inaweza Ikawa ina Close mara kwa Mara Na Kukuambia Unfortunately.... has stopped. Kwahiyo kama hiyo app imepata Update inawezekana hilo tatizo likawa limepata ufumbuzi.. kwahiyo fanya ku update..
Update zingine huwa zinahusu version fulani tu. Mfano unatumia Kitkat au Jellbean.. ila Update hiyo ni kwa Ajili ya Lollipop kwahiyo sioni haja ya Wewe kuupdate na Kupoteza Data bundle yako..
Mi huwa na Update If kuna kuwa na Features ninazozihitaji...