Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
Jamani mbona mbona mnapiga kabali,anaongelea wabaya wanaojitia nyodo za uzuri.
Huyo atakuwa anasifiwa kutwa mara tatu kuwa yeye ni mzuri na mpenzi wake,ndio mana mimi simsifii mtu hata awe polygon,akiwa irregular ndo baasi.
Watu mnang'aka nini sasa!!
Mmeambia "hana shape"
Kilichotumika ni "code mixing STYLE OF LANGUAGE"
Hana shape=shapeless=unstructured=not having any definite shape=lacking clear organisation.
ENDELEA NA MADA HII LUGHA INATAMBULIKA KATIKA LANGUAGE.
vinginevyo wasioelewa warudi class.
NIMEMEAMUA KUWEKA MAMBO SAWA
Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
Utakuwa umenyimwa K, ndio maana maneno yote haya yanakutoka. Mtu akiringa wewe inakuhusu nini! Anajitambua na thamani yake anaijua ndio maana anaringa.
Au kwa sababu hakai kwenye vikao vya udaku, hana muda na mtu, yuko busy na mambo yake ndio unasema anaringa. Na wewe si uringe.