Mdada asiye na shape wala sura ndio yupo vipi?
Shape huji na sura hujui au nawewe ndio wale wale
Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
Umeletewa mapozi nini cute_39?,usijali sana cutey...binaadamu tunatofautiana kitabia..kama mtu unamuona ana ringa we usiwe na time nae.,Usipoteze muda wako kwa mtu ambaye hakuzidishii wala hakupunguzii chochote...ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO!Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
Ehhh nawe wale wanaojiona ka chokleti he he he...Kuringa ndo kupoje?
tobaaaaaaaaaaaa! (kwa sauti ya Mzee MAJUTO)Shape huji na sura hujui au nawewe ndio wale wale
Mmmh... Haya ujumbe umefika
Shape huji na sura hujui au nawewe ndio wale wale
Kuringa ndo kupoje?
Message sent but not delivered
Shape huji na sura hujui au nawewe ndio wale wale