Kuna maafa makubwa huko Israel!

Haka ka nchi ka mashoga kanategemea msaada toka marekani trump akihojiwa anasema
1.Wachague njia ya mazungumzo
2: Au wachapane kwanza wapatane baadae.
USA asipoisaidia katafutwa kwenye ramani ya Dunia maana kako sawa na mkoa tu.
 
show sasa iko Iran, IDF wako huko kama watalii, wanachoose target kwa utuvu

View: https://www.tiktok.com/@unnervingmysteryfiles/video/7516247019363650847?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Wewe endelea kujifariji Iran sasa hivi wanateseka sana huwezi kulinganisha shida wanazozipata mpaka sasa Israel waliokuwa ni 23 na Iran ni 200+ kwa Majeruhi lazima Idadi yao kwa Israel ipungue maana wanachukua hatua za kiusalama lran wao lazima iwe juu kwa sababu wao wanaenda kichwa kichwa!!!
 
Bado Sijaelewa Sababu ya Israel kuzuia vyombo huru vya habari kuripoti madhara ya mashambulizi ya Iran nchini kwake, wakati wizara Yao pia ina report
 
Ile iron dome tuliyoaminishwa ni mwavuli WA yelusalemu vipi Sasa wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…