Kuna m- bibi namzimia humu Jf

Kuna m- bibi namzimia humu Jf

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Wanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.
 
Mkuu kabla hatujafanya lolote hebu tudokeze amefiwe lini ?? Ili tuweke mikakati.
 
Wanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.

Sasa si umtaje wajuvi wa mambo wa kusaidie...hizo hints ulizotoa bado hazijajitosheleza mkuu......na una uhakika gani kama ni mjane....
 
shwari!umemtambua huyo mbibi anaetafutwa?

Hapana, je wewe mwenzangu umemtambua? maana anasema ni mjane na ni mkali ile mbaya, sasa hajataja jina wala alivyo, inakuwa ngumu kumfahamu.
 
Sasa mpaka uje uyaseme humu jamani ungenifata kimya kimya tu kwan na noma bas,mim mwenyewe nakuzimia sana hujui tu,haloo
 
Atakua ndiye yule ambae mumewe kafa kwa upungufu wa Cd4 au ?
 
Hapana, je wewe mwenzangu umemtambua? maana anasema ni mjane na ni mkali ile mbaya, sasa hajataja jina wala alivyo, inakuwa ngumu kumfahamu.

pia anasema anapenda lile jukwaa pendwa..hapa unaweza ukamtaja mtu ukapata na ban!
 
mbibi?... mjane? ana hasira?.... hakawii kujilipua?...

mmh! hivi kuna mtu wa hivi hapa cc!?

btw, najivisha taji la ukaguzi leo! naanza kazi!
 
pia anasema anapenda lile jukwaa pendwa..hapa unaweza ukamtaja mtu ukapata na ban!

naendela na evidence collection!

jukwaa pendwa ni lipi! MMU? CC ? ama lile la WAKULU?

ntampata tu leo!
 
Back
Top Bottom