X Xhizo de incredible Senior Member Joined Nov 14, 2018 Posts 112 Reaction score 176 Dec 12, 2022 #1 Huu mkeka wa usaili wa tra mko watu Mia Tano Kuna kutoboa kwel hapo
Mwamba1961 JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 633 Reaction score 417 Dec 12, 2022 #2 Xhizo de incredible said: Huu mkeka wa usaili wa tra mko watu Mia Tano Kuna kutoboa kwel hapo Click to expand... Jiandae kutoboa kupo
Xhizo de incredible said: Huu mkeka wa usaili wa tra mko watu Mia Tano Kuna kutoboa kwel hapo Click to expand... Jiandae kutoboa kupo
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,034 Reaction score 25,479 Dec 12, 2022 #3 Ushaingiza baridi tayari. Fanya Mambo mengine tu
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,030 Reaction score 40,122 Dec 12, 2022 #4 Don't wait until your food get cold watching someone else's plate. Angalia wwe kama wewe achana na mambo za ovyo ,nikutakie maandalizi meme pambania nafsi yako.
Don't wait until your food get cold watching someone else's plate. Angalia wwe kama wewe achana na mambo za ovyo ,nikutakie maandalizi meme pambania nafsi yako.
HS CODE JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 1,784 Reaction score 4,413 Dec 12, 2022 #5 Hongera! Uzi mzuri sana.
HS CODE JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 1,784 Reaction score 4,413 Dec 12, 2022 #6 Hata kama ni mtu mmoja anayehitajika, fanya jitihada zako zote, huyo mtu ni wewe. Nimeshashuhudia watu wanakosa nafasi hata kwenye ajira zilizohitaji watu wengi na nimeshuhudia mtu mwenye uwezo wa wastani akipata ajira inayohitaji mtu mmoja.
Hata kama ni mtu mmoja anayehitajika, fanya jitihada zako zote, huyo mtu ni wewe. Nimeshashuhudia watu wanakosa nafasi hata kwenye ajira zilizohitaji watu wengi na nimeshuhudia mtu mwenye uwezo wa wastani akipata ajira inayohitaji mtu mmoja.
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,198 Reaction score 6,393 Dec 12, 2022 #7 Kama umetaka unatoboa tuu mkuu, watu tunashindania nafasi moja katika 100+