Kuna kuolewa hapa kweli?

Duuh, there is no marriage my friend. Pole sana.
 
Pole sana Dada kwa unayopitia,inasikitisha pale unapotumia nguvu na kujitoa mhanga kwa kila kitu kwa ajili ya ndoa tu halafu ndoa isiwe sehemu ya maisha yako uliyopangiwa hapa duniani!!

Ona na Sema imetosha Sasa,Usikubali tena kupoteza muda mwingine kwa ajili ya kuitafuta ndoa kwa maana hata hiyo ndoa ingekuwepo isingeleta mana..

Usijione wewe ni kiumbe wa ajabu kwa maana hujawa wa kwanza na wala wa mwisho kupitia changamoto hzo ila nakusihi uuone mlango wa kutokea na uanze safari yako ukiwa mwenyewe..

Pole kwa mara nyingine!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamme yeyote ambaye alishawahi kuoa na kupata matatizo kisha hiyo ndoa kuvunjika ni ngumu sana kuingia katika ndoa nyingine mpya..atashia kuchezea tu wanawake..labda mpaka muda uende sana ndio anaweza kuja kufikiria tena kurudi katika ndoa.
Kwa mantiki hiyo huyu hanifai japo la kuwa na ndoa sidhani
 
Nashukuru
 
Wanawake jamani tunatakiwa tujiongeze, hivi unaanzaje kumpa mpenzi wako au mumeo kinyeo? Kwanza mtu akishaanza kukupa story izo tu mkomeshe haraka sana na uoneshe msimamo wako. Anaweza kuanzia na kushka tu siku nyingine atakwambia kidole mwisho dude lake kabisa! Inauma sana kusikia mwanamke anafanyiwa michezo iyo jamani ebu tuwe na akili sasa. Pole sana mtoa mada achana nae huyo mtu na anza maisha mapya.
 
Dada yangu nakushauri kitu.
Ukiona mwanaume anayekutafuna nyuma.
Tambua hana future na wewe kabisa .
Vyema kujitasmini ili kupata mtu bora wa kukuoa.

Onyesha hasira yako kwake kwa siku moja ukidai haki yako ya kuwa mke kwake .

Pole kwa vichangamoto.

Kuna wengine wapo ICU Now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana sana ndugu
 
H
Hakuna ndoa hapo na mamichezo yako ya amber ruty bado kidogo ushuzi utakuwa unatoka mwenyewe itabidi uvae na pedi huko nyuma
 
Kumbe huo ni mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaya mkubwa wewe umelaaniwa kafie mbele
 
Asante sana, yaani nawashukuru sana. Maisha haya nikujifunza tu. Asanteni
 
Miaka 30 ndugu unashindwa kutambua muoaji na asiyemuoaji..Kupanga ni kuchagua ndugu..Kama hauoni muelekeo jitoe mapema
 
Asante, nafanyikia kazi ushauri wenu. Lakini unataka kuniambia sitapata mwanaume mwingine? Na kwa kuwa siwashwi huko kwingine nikimpata mwingine siwezi kubali tena hayo mambo na sitamwambia kama niliwahi kufanya hayo.
Utapata kwsbb Maisha yako bado yanaendelea so lazima apatikane wakukusindikiza kwenye safari yko...
Chamsingi na chakuzingatia,kosa halifanywi mara mbili..
Ukimpata mwingine,jitahid yy Ndio akuamini na Sio ww umuamin kuzid anavokuamin
 
Unataka akupeleke kwao ukatambike? Mnapenda kudanganyishiwa ndo mkitoa mizigo mnakuja kulilia humu
 
kwa hiyo hauna marinda, mtaro umefukuliwa tayari, tangaza na bei kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…