Profile inaonyesha umejiunga jana....but i can tell una ID kongwe, hii ni ya kutuletea janga lako hili.
Mdogo wangu kwa umri ulo nao late 20s upo desparate kuolewa na huyo "mbaba boyfriend " kesha kusoma so anatumia desperation yako kukutumia na kukuharibu kwasabu huna akili.
Huna akili ulifikiri kutoa nyuma ndo ticket ya ndoa? Ulifikiri playing wifey na kuishi nae ndo atakuoa?
Pole sana ila hatakuoa....Narudia tena HATAKUOA.
Na kama una akili hata chache zilizobakia kusanya vyako ondoka na usigeuke nyuma. Ukikaa zaidi ataendelea kukuharibu ukijashtuka utakua huna breki nyuma na siku ataleta binti fresh anaejielewa akutimue wewe ukiwa ushaoza hufai kuolewa hata kwa mahari ya kilo ya sukari.
Halafu ye mwenyewe ana walakini mtu wa 40+ hajaoa???Umemchunguza vizuri kweli?Hajaacha familia kijijini huyo? Mlipima afya kweli???
Naogopa kwa ajili yako mdogo wangu...pack your stuff and leave it's not late to start over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikosea toka mwanzo. Mhh naona dalili ya ndoa ni ndogo kwa maoni haya ya humu JfSasa atafanyaje? 😂😂😂 katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra
Bora uanze upya mpendwa.Nimeumia ila asante. Hana familia wala, afya nilipima mimi mwaka jana mwishoni hakuna shida. Wacha niwaze upya mhh
Sio mume wa mtu, maana hapa nipo nyumbani kwake, au unataka kusema ananyumba 2? Nina uhakika sio kabisa maana hapa nimeshakaa week ya 3 sasa na yupo kila sikuIla mbona Kama nahisi huyo ni Mume wa mtu anakutumia tu kwa kujistarehesha...🤔 Ngoja tuone
Sikuenjoy wala ila yeye naona ana enjoy zaidi na ndio maana nikimnyima ananinua haswa, woii sitajali aisee. kwa maoni haya naendelea na msimamo wangu, maisha haya nakata tamaa kabisaMkuu hio kumpa tiGo na wewe si una enjoy siku hizi,, so unahofu ukitoka hapo nani huko nje atakula tiGo..??
BUT hapo hakuna ndoa, 40+ lazima atakuwa kaacha familia somewhere.
Kaa tulia, Mchune mkwanja wa kuanzia maisha mbele ya safari then ondoka.
Thank me later
Ni ngumu ila nitajitahidi. Shida ni kwamba nilishajiona mi ndio mke wake kabisaaBora uanze upya mpendwa.
Asante piaUnaitaji ndoa hauna marinda ..subiri ndoa za mitara
It is never to late to begin. Start now
kwa maoni haya naendelea na msimamo wangu, maisha haya nakata tamaa kabisa
Siku ya kwanza nilikuwa nimelewa kwa hiyo alivyonipata hapo, tulipokuja tena kufanya akaendelea japo sikuwa nataka ila ikabidi tu nimuachie tu. Mapenzi ni upofu mweeMwanaume yeyote anayekuomba kufanya huo mchezo kinyume na maumbile anakuwa ameshakuona wewe si muolewaji.