Kuna kuolewa hapa kweli?

Ndoa ni mpango wa Mungu, kwahiyo ulidhani ukiyafanya yote hayo ndo atakuoa? Yaaani hapo ni umejidhalilisha wewe huenda alikuwa anakupima je wafaa kuwa wife material kaona nawewe ndo walewale Kesha kushusha thamani kwakumpa huko nyuma.. wanawake sisi muda mwingine jamani.. [emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,ila ukweli ni kwamba huyo mwanaume mke alienae kichwani ni yule ambae hajaingiliwa nyuma...Hivi dada zetu kwanini mnarubunika kirahisi hivyo? Kisa kakuonesha kukupenda et na wewe unamkubalia kumpa mpka sodoma, vipi kama kuomba huo mchezo kwake ndo kulikua ni kipimo cha kuona kama una msimamo kama mwanamke?
 
Njoo inbox, nataka mwanamke mwenye sifa zako
 
Profile inaonyesha umejiunga jana....but i can tell una ID kongwe, hii ni ya kutuletea janga lako hili.
Mdogo wangu kwa umri ulo nao late 20s upo desparate kuolewa na huyo "mbaba boyfriend " kesha kusoma so anatumia desperation yako kukutumia na kukuharibu kwasabu huna akili.
Huna akili ulifikiri kutoa nyuma ndo ticket ya ndoa? Ulifikiri playing wifey na kuishi nae ndo atakuoa?
Pole sana ila hatakuoa....Narudia tena HATAKUOA.
Na kama una akili hata chache zilizobakia kusanya vyako ondoka na usigeuke nyuma. Ukikaa zaidi ataendelea kukuharibu ukijashtuka utakua huna breki nyuma na siku ataleta binti fresh anaejielewa akutimue wewe ukiwa ushaoza hufai kuolewa hata kwa mahari ya kilo ya sukari.
Halafu ye mwenyewe ana walakini mtu wa 40+ hajaoa???Umemchunguza vizuri kweli?Hajaacha familia kijijini huyo? Mlipima afya kweli???
Naogopa kwa ajili yako mdogo wangu...pack your stuff and leave it's not late to start over.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss tunaotafuta wanawake Wa kuwaoa hatuwapati lakini mabazazi wenyewe rahisi tu anadaka dem faster,
Sema jifunze sizani Kama mwanaume muoaji atakubali awe anamfukua mitaro Mke wake ,

Hapo hakuna muoaji ni bazazi tu huyo ,kama VIP muulize tu uone jibu lake

Wanawake mnafeli Sana kwenye suala LA kumkubalia mwanaume afukue mtaro unadhan ndio atakupenda zaidi hakuna lolote hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ila kama nilikosea sasa ndio narekebisha na hata hayo mambo siku hizi namyima. Shida ni sioni kama kuna future hapa
 
Reactions: ABJ
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
 
Sasa atafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23] katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra

Daah tusamehe bure [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nasoma na kurudia kusoma tena na tena.
Huonyeshi Kuumia wala kujutia "michezo ya nyuma"....Concern yako kubwa ni ndoa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo ya kuliwa mgongo unaona sio issue.
Jamani jamani aibu naona mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ki ukweli najuta, na nimeanza kumnyima pia. Ndoa ipo hapa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…