Kuna kiwanda chenye kazi rahisi!?

pdozen_nation

Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
52
Reaction score
122
hivi kunakiwanda ambacho akina kazi ngumu raisi ? kama kipo kitaje na malipo yao yakoje watu wanatafuta
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ nishawahi kufanya kazi ya kutembea kwa masaa 11 pumziko saa moja kwa 7500 ... nakubali sana kazi za ujenzii nguvu inaendana na malipo viwandani wachina na wahindi wapo uku kwasabbu ya chipu leba
 
Kazi ngumu rais/rahisi ndo zikoje?
NB:Ndo maana wa Dar tunadharaulika
 
Kiwanda kisichokuwa na kazi ngumu ni kiwanda cha kuchakata mbususu na kuzalisha utelezi, mmekalia uvivu na kupenda mambo ya bwerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…