badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,449
- 2,818
Kumekuwapo na matukionya kutisha sana ya mauaji, ubakaji, kunajisi na kudhalilisha watoto kingono na mambo ya kuzinga na maharimu. Serikali ipo busy kujenga shule hospitali madaraja na barabara wakati watoto taifa la kesho wapo hatarini sana kwa sababu ya sexual trauma wanazopitia wakati huu. Haya mambo yatawatesa sana watoto wetu taifa la kesho miaka 10-15 ijayo.
Mpaka sasa hivi sina uhalika kama hapa Tanzania miaka 10-15 tutakuwa na madaktari wazuri, walimu wazuri, wanasheria wazuri, manesi wzuri kwa sababu huko chuoni ni upumbavu wa hali ya juu ikiwamo pombe starehe na ngono. Vijana wote wanaomaliza vyuo vikuu wahapo competent hawana ile uwezo wa kujiongeza na kujiamini huwezi ukamwamini ukampa kazi serious kama hata kama yupo fild.
Kuna kitu hakipo sawa wizara ya sheria fanyeni mabadiliko sheria “sexual offences special provision act” sheria hii imepitwa na wakati na haitoi adhabu sahihi kwa makosa ya ubakaji na udhalilishaji wa kingono kwa watoto. Inawezekana vipi mtu aliye baka apewe adhabu ya miaka 30 na na kama alienajisi mtoto na kumdhalilisha mtoto kingono apewe adhabu ya miaka 15 tu. Usawa uko wapi.
Embu tazama nyumba ambayo baba yuko busy kutafuta hela niambie tabia za watoto wake zinakiwaje au tabia za mke wake. Watu sasa hivi hawana time hata na familia zao wanachojali ni mahitaji muhimu ya mtoto yani nyumba ya kukala shule chakula mavazi na picha za simu. Ndio sawa na Tanzania yani serikali na viongozi wapo busy kufanya maendeleo wakati taifa lina haribikiwa na ushoga.
SOSPA ibadilishe. Adhabu ya kifo irudi hapa Tanzania hasa kwenye makosa ya kingono yana haribi sana future za watoto haijalishi ni mtoto wa kike au wa kiume. Hali ni mbaya hizi sijui ni lana ama nini. Huko shule za msingi watoto hawapo salama kabisa hasa shule za serikali za msingi. Hali ni mbaya.
Tunategemea vijana wetu chuoni wafanye vizuri halafu hao walimu wanalala na watoto wetu huko lodge. Alafu wanagawa maxi za bure. Loh! Tutapata madaktari wazuri hapo kama walimu tume waamini wawafundishe hawa watoto wetu wanaenda kuwatikisha kingono na kuwadanganya na zawadi? Kinaya zaidi ni mabinti wadogo miaka 20-21 na 22 kama wewe ni baba mtoto wako yupo chuo utakiskiqje ukijua hayo mwalimu anatukia nafasi yake kumtisha mwanafuzi kisha kumbaka na kumdanganya kwa zawadi na maxi.
Baadhi ya walimu hawana shukrani kwani tunawalipa mishahara mbona mnatulipa ubaya? Kwanini mnaharibi taifa la kesho kwa kuzalisha wahitimu vijana wasio na sifa.
Sisi kama taifa tunaacha misingi yetu na mungu anatuacha taratibu ila bado hatujashtuka kama kuna kitu kwenye jamii zetu hakiko sawa. Hata polisi nao naamini wanashangazwa sana na matukio ya mauaji kila siku kisa ngono au wivu. Ninaibu sana kama tumefikia hapa usidhani tutakuwa na watu wa kuwapa vijiti hawa tulionnao wakistaafu.
Ipo siku utaenda hospital alafu utakuta dokta hajui dawa au wewe utahisi huyu dokta hana sifa ila kwasababu ana vyeti ndio mana kavaa koti. Sio hivo kila mahali yani watu hawana ujuzi wowote unakuta mtu kasomea mambo ya sociology yupo nafasi ya human resource ndio mambo yalivyo. Kila mahali watu hawana sifa.
Tanzania kuna kero na mambo ya ajabu sana na ya kinaguzi sana hasa kwa wenzetu wahindi na waarabu. Hichi ni kitu kipo lakini hamna mtu anasema.
Unakuta watu kama wahindi na waarabu hapo masaki wanajifanya hawajui kuzungumza kiswahili wakati vitambulisho vya nida wanavyo yani wahindi na ni watu ambao nashindwa kuwa define kwa kweli.
Unakuta hawa watu wahindi na waarabu na profesion zao wnaweza kuisaidia nchi lakini hawawezi kuomba ajira serikalini huwezi tembea ukakutana na askari muhindi awe mwanaume muhindi au mwanamke muhindi sio hivo huwezi kiwakuta ni walimu shuleni au nesi au madikta serikalini wao elimu zao wanajinufaisha wao wenyewe hawana mchango wowote. Amesoma kamaliza nataaluma anafungua kampuni wakati kuna watanzania wenzake wanamuhitaji.
Hawa wahindi na waarabu nimegundua siri yako ni kwamba hawataki kujichanganya na watu weusi kwasababu iwapo watoto wao watasoma na kufanya kazi serikalini watakuwa na ukarubu na vijana weusi hivyo elimu zao ni kufungua makampuni makubwa na kuajiriqna wao kwa wao katika nafasi za juu. Huwezi kuta elimu zao zinawasaidia watanzania wenzao hawa wahindi na waarabu wana wivu kuchanganya damu na sisi weusi. Huo ndio ukweli.
Ni wakati wa serikali kuangalia hawa watu kwanini wanakaa bure bure tuu. Hawapo jeshini wala polisi lakini tunawalinda. Lazima tozo ya usalama itolewe na jamii ya hawa watu ili ijenge nyumba za polisi wetu na kuwa na uniform smart kwa polisi wetu.
Lazima wahindi na waarabu wainyeshe mchango wao serikalini na kwa wananchi kazi zikitoka waombe watapata. Hawa watu wapo makini sana ndio mana wanafanikiwa ona toka tumepata uhuru wametoka serikalini mpaka sasa hatuja fika mbali. Ni wazi wahindi na waarabu wanatukosea sana watanzania wenzao hasa kwa dharau zao kisa wao wamepata.
Chamsingi kuwa na muda sana na familia yako nakuomba sana. Sijui yuu ujembe ni wa nani lakini hela zipo pale utakapo zeeka utajikuta huna bond yoote na watoto wako. Hela zipo weka muda kwa watoto na familia yako. Fanya uwezalo.
Nyie wahindi na waarabu sio poa mnachofanya mna boa sana kwasababu hamna msaada wowote kwa serikali yenu. Mpo mpo tu kiubaguzi. Tunawalinda mnakaa bure kazi yenu mnatafuta vihela vyenu alafu mnapelekeaha watu.