Kuna kiongozi wa Tanzania sifa zake na kutaka kuonekana kuwa hashindwi kitu leo anaenda kuumbuka nchini Misri


Nipo na adui Harambee Stars!

Fvck everybody else plus Bashite!
 
Huyu Mlevi ni wa kutengenezwa wala asikuumize Kichwa Mkuu..
Inasikitisha tu team yetu ya Taifa wamejikuta katikati hawajui wamfurahishe nani, siasa zimeingizwa, vijembe kabla hawajafuzu wote kimya sasa wanachangamkia fursa. FIFA sio wajinga kupiga marufuku siasa katika michezo leo team ya Taifa na uhakika imepoteza support kwa kiasi kikubwa tu sababu ya hawa wana siasa wametugawa mitaani sasa wanakuja kumalizia kitu ambacho ndio tunakipenda wote bila kujali itikadi zetu wameshaingiza mikosi yao. Piga marufuku siasa katika michezo.
 
Huyo mkuu leo kaanza kutoa hotuba kaanza kumtaja mfalme nao wachezaji huyo Msuva naye kaingia mtegoni kaanza tunamshukuru mwenye nchi na sisi tuko kwa ajili ya serikali sio Tanzania tena, unashukuru serikali wakati mmetembezewa bakuli la michango ya nguvu watu wanatoa na kinyongo. bora angesema tunawashukuru waliotuchangia kitu kidogo lakini wameshukuriwa watu waliotoa 0. tufungwe tu turudi kucheza ndondo tu.
 
Lazima tushinde najua una hamu tufungwe ili mpate cha kumsema makonda ila nakuhakikishia tunashinda hii game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…