Kuna kila sababu ya Ali Kiba kujitafakari upya

Kechegwa

Member
Jan 25, 2020
52
94
Muziki ni industry pana san ambayo imekusanya kila aina ya wasanii wenye vipaj na wenye juhudi pia lengo kuu likiwa ni kumlenga mlaji(msikilizaj).

Pia mziki ni biashara pana ambayo inamuhitaj msanii kuweza kufikiria ni namna gan na kipi akifanye kuwakamata wafuasi wangi na sio kufanya kaz kwa mazoea.

Nijikite katika mada husika kama nilivyo tangulia hapo juu.IPO haja ya Msanii nguli Wa bongo fleva kujitafakari nin unafanya,Watu wanapokeaje, Wapi anapatia na nikipi anakosea?.

Kama kuna kitu kinachomfelisha Msanii huyu ni kukosa Management yenye watu wanaojua nini maana ya mziki, pia biashara ya mziki ni nini.

Ili Msanii aweze kufanikiwa kwanza akubari kushauliwa na kukosolewa anapoenda tofaut, pia kujifunza kwa waliofanikiwa hata kama ni wapinzani wako.

Sehem kubwa inayo mpoteza Ali Kiba japo kwake anaweza kuona yupo sawa ni Kuwashika mikono vipofu anapo kula nao sahan moja.
.
Mgogoro na Produser Man Maj.Kiukweli hapa Kiba aliferi kwa kiasi kikubwa,Kwa mtazamo wangu huyu ndiye FUNDI anaye jua Kiba afanye nini, melody na bit gan alitumie kutoa kitu kizuri.

Chemistry yao ilikuwa ipo vizur tofaut na nyimbo za sasa quality inaboa kabisaa.Hatukatai mipango yake ya kuwainua maproduser wadogo lakin isiwe too much.

Hii haishangazi ndio maana nyimbo zake sasa hiv ni kama JoJo tuu maskion kwan anarelax kwa sababu Under ground prod hawez kumshaur chochote kuhofia kumpoteza.

Mwisho niseme hatujui nin chanzo cha mgogoro wenu na Man wolter lakin IPO haja ya kumaliza tofauti zenu ili kulud katika ubora ile tunao ufaham cc Fans wako. Vinginevyo litabakia jina kubwa huku ufanisi Ziro.
 
Issue ya man water na alikiba ilishaisha na wako vizuri mpaka Sasa ndo Mana haumsikii man water akilalamika. Acha kuokoteza mada mzee fanya kazi uongeze kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unayosema ni kweli bas atakuwa amefanya kitu cha mbolea. Kiukweli Ali Wa sasa c yule unakaa miaka 3 unaskiliza ngoja haikuchosh nadhan Man Woter ni Prod sahih kwake
 
Nimeaikitishwa na namna unavyochanganya R na L katika baadhi ya maneno,daaaah elimu elimu elimu,hebu jirekebishe kwanza afu uje tena kaka hahahahahaaaaaaa L na R ni shiiiiiida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayosema ni kweli bas atakuwa amefanya kitu cha mbolea. Kiukweli Ali Wa sasa c yule unakaa miaka 3 unaskiliza ngoja haikuchosh nadhan Man Woter ni Prod sahih kwake
Hata alipokuwa na man water mlimponda acheni unafki hata diamond alipotoka kwa Bob junior mliongea hivi hivi na kizur tangu Kiba ka achana na man water man water hasikiki kabisa ila jamaa na kings wanasumbua me nadhani wa kupewa ushaur n man water

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom