mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
HahahahahhaAliye pitisha sheria ya Fao la Kujitoa ni mtu KATILI sana
Yaani kazi nimefanya mimi halafu uje unipangie utazani ulikuwa unanisaidia kubeba Rumbesa...
Aisseee ikibidi Makaa ya Mawe

Ni kama vile hii nayo ni ID ya mleta mada. UNAHANGAIKA kweli, mwe!ACHA ujinga wa kukaa kupoteza muda kwenye keyboard wenzio wanapiga mpunga huko we kalia kujambajamba tu hapo shauri yako
Dah umeanza makonyagi na wewe mtoto Wa kike siku hizi.Utaliwa mpaka kucha kamanda
Wewe kweli unavuta bangiNdio mbona Ruzuku tumeshavuta kitambo sana, kwa nyie hamjui, au mlitaka tunavoenda kuchukua tuite na waandishi wa habari ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaa utakuwa humjui mbowe vizuri weweMbowe siyo mrahisi rahisi wa kujidhalilisha kwenye mamlaka kama walivyo kina Kabudi, Ndugai, nk.
Mbona Wewe kuliwa na madelu ni kawaida tu, lakini jamaa kuliwa kucha unaona nongwa? Unataka kuliwa Wewe tu?!Utaliwa mpaka kucha kamanda
Poor thread from a retarded brain.Ndugu zangu,
Ajizi nyumba ya njaa kwa wenye uelewa na mambo ya serikalini leo ndio mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali hivyo maafisa masurufu yawapasa warudishe pesa zote zilizopangwa kutumika lakini hazijatumika.
Ipo siku isiyo na jina ambayo wafuasi wa Chadema watagundua kuwa walichangishwa pesa huku wakihadaiwa kuwa cheamanj kasusa kumbe "kishawapiga".Wakati ni huu, kesho ikifika mshachelewa. Mtalia! Mtalia! Mtalia!
Kuna kila viashiria ruzuku ya hadi tarehe ya leo 30.06.2021 "imevutwa",wanapangusa midomo huku wakichekea tumboni.
Tuimarishe uchumi kwanza.
Ndugu zangu,

Ndio majority ya middle class yetu,wengi wao ni wapumbavu including mtoa hoja hii,ameandika bila ya kuambatanisha na evidence yeyote ile kama proof kutoka inapotolewa ruzuku hii.Hizi ndio akili za ovyo za vijana wetu wengi na utaona watakavyo support huu ujinga wa mleta mada.
Hakuna hata supporting evidence.
People with price tags like you,their brain is always allocated between the as*, so they think every person has the same condition... so pity .Ndugu zangu,
Ajizi nyumba ya njaa kwa wenye uelewa na mambo ya serikalini leo ndio mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali hivyo maafisa masurufu yawapasa warudishe pesa zote zilizopangwa kutumika lakini hazijatumika.
Ipo siku isiyo na jina ambayo wafuasi wa Chadema watagundua kuwa walichangishwa pesa huku wakihadaiwa kuwa cheamanj kasusa kumbe "kishawapiga".Wakati ni huu, kesho ikifika mshachelewa. Mtalia! Mtalia! Mtalia!
Kuna kila viashiria ruzuku ya hadi tarehe ya leo 30.06.2021 "imevutwa",wanapangusa midomo huku wakichekea tumboni.
Tuimarishe uchumi kwanza.
Kutokuchukua ile pesa ni mojawapo ya “matumizi mabaya ya pesa”
Unasusa kuchuka pesa iliyozaliwa na process ya uchaguzi ila unaandika barua kuomba kuonana na Rais (halali?) aliyepatikana kwa process ileile
Poor thread from a retarded brain.
People with price tags like you,their brain is always allocated between the as*, so they think every person has the same condition... so pity .
Mwendawazimu akiropokapoka, mwenye akili anaumizwa na nini, zaidi kumwonea huruma huyo mwendawazimu?Imekuchoma
bwashee ushachanjwa?ile episode ya wabunge covid -19 naona imeachwa sasa tumeamia kwenye katiba mpya...ila CCM inawajulia sana hawa watu..